Hii maisha provided that hujanona we usiwahikata tamaa, kama saii nimekaa tu hivi nafikiria nitakula nini sapa juu Sina uradi kiasi kiasi nasikia knock kwa mlango, kuenda kufungua ni mwende my neighbour na hotpot imebeba chapo na nyama, ati alipika akule sapa but mtu wake amemuita date, sasa ameona aniletee😊😊Leo imejipa