God First ๐ SSC fan๐Live Like You Will Die Tomorrow|| Use Food As Medicine. |words spoken cannot be unspoken| ONDOA TUMAINI KWA WATU KWANI WANABADILIKA.๐ญ
Always stand for what's RIGHT AND TRUE, you will receive both HATE and LOVE, but every one will know what u r fighting for.
@AdvoBarryRoux@_blaise250@landoo254
VIDEO:
โMnaweza wakati fulani mkawalaumu sana wasanii bila kuangalia maisha ya nyuma na makuzi ya msanii yaliyomjengea falsafaโ- Chalamila.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza Jumatano Juni 12, 2024 alipokutana na wasanii mbalimbali waliojitokeza katika ukumbi wa Kiramuu uliopo Mbezi Beach, Dar es Salaam kwa lengo la kujadili usambazaji wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.