Wanajifariji Tu ili kuwaonesha watu wako na Furaha ila Wanapitia Maumivu Makubwa Sana Ndani Ya Nyoyo Zao,wasikutishe Wanapost picha nzuri tu tena za dhamani,kamwe Usivumilie dharau Juu yao.
Amini! Mkiwa Wapenzi Wenye Nguvu Moja Na Nyoyo zenu zikaamua kuwa pamoja iwe Mvua iwe Jua Mafanikio yenu yatakuja kwa Ukubwa Na furaha yenu Itakuwa ya Kudumu Milele.
Kwa Wale wote ambao hawakuelewi,hawakupendi,hawajachagua kwenye maisha yao,hawependi kukuona unafuraha,Hivi wanataka wewe ufanye Nini sasa? Ufe au? Au wanataka shetani akuchukue akumeze waambie Hapana Wewe ni uzao Mwema !
Kwa Wale wote ambao hawakuelewi,hawakupendi,hawachagua kwenye maisha yao,hawependi kukuona unafuraha,Hivi wanataka wewe ufanye Nini sasa? Ufe au? Au wanataka shetani akuchukue akumeze waambie Hapana Wewe ni uzao Mwema !
Wakwepe sana binadamu wanaokutengenezea mazingira ya wewe upate stress, yani kaanao mbali,ikiwezekana hata numba futa,watakufanya usifikilie mambo yako ya msingi Mungu anakusudi na wewe!!
Kwa mujibu wa mchungaji Josephat Gwajima, ambae ni Mbunge wa Jimbo la Kawe, kati ya dini ya Uisilamu na Ukiristo dini moja ni MBWA na nyengine ni MBUZI. hakuishia hapo akafafanua zaidi na kusema dini moja ni NURU na nyengine ni GIZA. Tuendelee...
Anakutengenezea Mazingira Yote ya kumtongoza sio kwamba haelewi nini anafanya sio kwamba ni mrahisi kama unavyofikiri hata,kuna kitu cha ziada amekiona juu ya maisha yako muaminishe wewe ni zaidi ya kile anachokiamini.
Jifunze Kulifanya Tatizo kubwa kuwa dogo binadam anakomesheka ila usiangaike kumkomesha bali mkomboe kutoka katika utumwa wa fikra tumia tatizo kumuonesha upendo ulionao juu yake Na Baraka zitakuangukia mara nyingi zaidi.
Jifunze Kulifanya Tatizo kubwa kuwa dogo binadam anakomesheka ila usiangaike kumkomesha bali mkomboe kutoka katika utumwa wa fikra tumia tatizo kumuonesha upepo ulionao juu yake Na Baraka zitakuangukia mara nyingi zaidi.
Katika Binadam Wote Wanaokuzunguka baba na Mama Tu ndio wanaweza kupigana na wewe asilimia zote katika maisha yako Sio kwamba wengine Hawatakupigania hapana watakupigania ila kuna jaribu zito likikupata watasema muache atajua Mwenyewe.