@azamtvtz Kujipikia unatumia gharama ndogo kuliko kununua chakula, unaweza ukatumia 15k kwa siku kupika mboga ambayo unaweza endanayo 2 weeks au week n ahalf, ukiienda sokoni kununua kilo 10 ya mchele unaweza kaa nao
kuna mabrother ambao ukifanikiwa wanaumwa koromeo kisa walikuona enzi una ungaunga maisha kolombwe, Kama unipendi uniombei na wala hatutengenezi pesa weni-destruction mezani utachangia unachomeza @MoniCentrozone#Roadtomazengo#Hiphop#rapholic#mistaripedia