๐ Peace Planet โ Your trusted source for news that matters.
๐ฐ Unfiltered, unbiased, and insightful stories from around the world.
๐ LinkedIn
10/ Hii thread siyo chuki dhidi ya mtu au chama chochote. Ni wito wa kutafakari hali ya nchi kwa uhalisia.
Tunaweza kufika mbali kama Taifa, lakini hatuwezi kufika kwa kusubiri wahusika wa mfumo walioujenga ndio wauangushe.
#Tanzania#Mabadiliko#Ukweli
1/ Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
Kila alichokisema Humphrey Polepole kwenye podcast yake ni ukweli na uwazi, isipokuwa moja:
Hoja ya kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ighairishe uchaguzi ili CCM wapate muda wa kufanya mabadiliko ndani ya chama.
Huo si uhalisia wa tume huru.
9/ Kwa sasa, tupo kwenye hali tete ya kihistoria.
Uwezekano wa mabadiliko upo, lakini lazima tutambue kuwa mfumo haujiendeshi kwa maneno, bali kwa maslahi ya waliopo madarakani.
Ujasiri wa kusema ukweli hautoshi hatua zinahitajika.
Je ni hatua gani?
Here is my list. Point who's on your list
1) Eminem
2) Tupac
3) Nas
4) J-Cole
5) Rakim
6) Kendrick Lamar
7) Joyner Lucas
8) Nipsey Hussle
9) Wale
10) Mos Def
โThey just asked me to work with them and I just was like, โWhat the fuck am I going to do with them?'โ he explained. โThose are my fucking heroes.โ
While appearing on a recent episode of the Hart to Heart show, the rapper and music producer shocked host Kevin Hart when he told him that he โbowed outโ a couple of times from working with some of the most legendary artists in musicโs history.