Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani @exmayor_bonifacejacob akihutubia mkutano wa hadhara mjini Kyela, Mbeya leo. ✌🏾🔥🙏🏾
NB: Mwambieni Mwenezi ‘GANJA MBICHI’ wa CCM huyu ni BONI YAI peke yake.
Pia sisi tukipanga viti kama wao hakuna eneo litatosha kwa mikutano yetu
NB mtamalizia wenyewe!
Shida ya Putin kinaponuka huwa hana msaada kwa wanaomtegemea…Maduro wa Venezuela alinyakuliwa na Trump kama kifaranga, Asad wa Syria zilimuokoa mbio kule Damascus!
#FREELISSU
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#NyasaMpya#FREELISSU
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Hii ni Nkasi jana kikao cha ndani, tena Kirando huko! Najivunia sana kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, pia najivunia tuna mtu imara kabisa my sister Mh. Aidah mkoa wa Rukwa!
#StrongerTogether
Ona huyu, nchi inahitaji maridhiano serious, yeye analeta maigizo kwa kukusanya VIBAKA ili kumuonyesha Samia kwamba anaenda vizuri…
NB: Shida ni Mbeya mjini haimjui kama ambavyo yeye haijui Mbeya mjini, MATAKO YAKE!😎
Hii BODI ni tool nyingine ya Udikteta. Kukandamiza uhuru wa habari na hata uhuru wa kutoa mawazo…Ndio maana tulipinga sana kuanzishwa kwake wakati ule tukiwa Bungeni.
Hii sasa ni kama BASATA na wasanii!