40% ya nguvu zako wekeza kwenye afya.
40% ya nguvu zako wekeza kwenye kipato.
20% ya nguvu zako wekeza kwenye kupumzika.
Ukiharibu afya yako ukiwa unatafuta pesa, mwisho utatumia pesa kutafuta afya .
Samaki kama huyu ni muhimu kwa afya yako .
Piga 0762344677 .
One day utaangalia nyuma na kugundua kwamba hata zile siku ngumu zilikuwa na maana.
Zilikujenga kuwa mtu strong kuliko ulivyofikiria.
Keep trusting the journey, everything is connecting slowly.
Good Morning
Usingoje maisha yawe rahisi ndipo uanze kujituma.
Life will never be easy enough.
Kutakuwa na pressure, kutakuwa na hofu, kutakuwa na kukata tamaa.
Lakini wale wanaofanikiwa ni wale wanaoendelea mbele hata wakati mambo ni magumu.
Kwenye Kikao kinachotaka HELA ukitoa mawazo mazuri wewe ambae huna pesa yanapuuziwa, Halafu PESA ikipatikana Yule mwenye pesa anacopy mawazo yako anayawasilisha wanampongeza.....
Kuwa na pesa ni muhimu sana akii😅