Sentensi moja kwa bi Kizimkazi .. atazisoma hapa kwa uhakika
Mi naanza:
Roho nyeusi kama kutu ๐ฎ
Hata msiseme eti sijui mkuu wa nchi tumheshimu! Thubutu!
Anaamuru watu wasio na hatia wapigwe, watekwe, wauwawe na wabambikiwe kesi
For what?
Rudi Kizimkazi utulie huko kama unashindwa kuvumilia kukosolewa
#TutaelewanaTu lakini!
#TajiriLaKihaya
Wanaume hebu tuongee serious kidogo!
Tufanyeje kuepukana na hawa Matapeli wa Filters??
Haiwezekani mwanaume unatumia nguvu kubwa-
alafu kumbe mwanamke ni wa kawaida mno๐๐๐
Matumizi ya Filters limeshakua
JANGA LA TAIFA๐