@Eric__Bernard Hii game IHeFu awatoi presha kwa yanga
Jinsi team ya yanga inavyocheza ukiangalia kwa makin ni kama wapo mazoezini yani wanatoka nyuma kirahic na golin kwa IHEFu wanafika kirahic
Chaajb na IHeFu Awana haraka
@mokertz__ Weee jamaaa maandazi SEMA unapenda watu wakoment kwenye peji yko
Sasa sijui comments na like, views wanafaida gn kwako ila unaonekan maandazi sana ata chema utasema wajikoshaa Aya tuambie umeshashudia viongozi wangp wanatoa Hela km zawad na tunaonyeshwa picha za matukio ayoo
@MissChelsea1221 Hii project imefeli sitegemei kuniona Chelsea Top four mwakan Ili ufanikiwe unahitaji kuchanganya vijana na wanaume wapambanaji km kweli timu inahitaji epl na makombe mengn
@George_Ambangil Sitegemei kuniona Chelsea Top four kwa msimu uhuu Tena
Last time lig ilivyomaliza T.silva alihojiwa alichosema project ni nzr ya vijana ila ilitufanikiwe kwa mwakan tunahitaji watu wazima na wenye uzoefu kwa Maana tuchanganye vijana na watu wenye uzoefu Zaid
@George_Ambangil Mudueke,Cole,modric,na wengn wanahitaji waende mahali wakomaee ndio waje epl
Strelling anabahatisha anachofanya anamwendelezo kwa kiwango chake
@George_Ambangil Project ya Chelsea aito work out ata siku Moja ligi ya epl akusubirii ww ukomae ety km ambavyo Chelsea wanafanya kusajili wachezaji wenye vipaji wadogo sio shida shida wakuja kushindana kwenye ligi ipi na watu waina gan
Wavulana na wanaume wanatofautiana sna ..hii project imefl
@millardayo Msisahau tiar kuna DP world
Sasa tunabandari ngn au mtakula tuu ada zawatu na ajira zenyewe mnachukua 20 alfu apo apo Bado kunawatoto wenu na michongo yenu
@ChelseaFC Sasa uyu ni beki nimetazam highlights zake nimejiridhisha aendele akamasaidie T.silva pale nyuma sasa
Angalau naweza kusema nyuma patakua vzr kwamba Kipa linakuja wahuni km James wapoo