Chadema has formally written to the African Union to express concern over Tundu Lissu’s Conditions of Detention and the legitimacy of Samia Suluhu Hassan’s participation in the 39th Ordinary Session of the AU Assembly of Heads of State and Government.
DUDA... Leo Mh Tundu Lissu @TunduALissu ameingia mahakamani akiwa amevaa T shirt iliyoandikwa DUDA, wengi wanajiuliza maana ya neno Duda na kwanini Mh Lissu kavaa leo.
Duda ni jina maalum la Kinyaturu ambalo maana yake ni MTOTO ANAYEPENDWA SANA, bila shaka shaka t-shirt hiyo ameletewa na mwana familia, kuonyesha UPENDO.
Lissu amewauliza mashahidi WOTE wa kificho kama wametishiwa maisha na mtu yeyote, na wote wamejibu HAPANA. Kwa msiofahamu, DPP aliiomba mahakama kuficha mashahidi hawa kwa sababu WAMETISHIWA maisha yao. Anachokifanya Lissu ni kuithibitishia mahakama kuwa DPP & POLISI ni waongo.
Mlituaminisha kuwa ni mhaini, ushahidi mnao, mkaanza kesi kwa kishindo, mkatoa na ratiba hadi ya hukumu, matokeo yake mkaishia kuhairisha kesi kwa muda usiojulikana. Toeni haki kwa kuendelea na kesi ama kuifutilia mbali. #freetundulissu
Mmepewa jukumu gumu sana, jukumu ambalo linaweza kulaani maisha yenu pamoja na familia zenu sasa na hata kwa vizazi vijavyo. Mnapaswa kuacha jambo hili mara moja, haraka iwezekanavyo. Endapo mtaendelea kukaidi, na kwa kuwa dhamira si njema, basi kuanzia sasa Mwenyezi Mungu ataanza kushughulika na kila mmoja wenu katika hilo kundi. Maumivu kwa jamii ni makali sana. Tambueni mshahara wa dhambi ni mauti. Hili ni onyo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, kwepeni adhabu yake kwa matendo ambayo hayakuwa ya kwenu. Kimbieni hizo posho, kwanza kwa umri wenu hata kula ni kwa masharti. Msilaani kesho ya wajukuu zenu. Mungu awasaidie na nuru yake iwape ujasiri.
Samia is trying to Use Tanzanian natural strategic resources to leverage the Support from powerful Nations after Committing crimes against humanity by killing more than 10,000 Youths
This won’t Metastasize,She will eventually face her fate
Repost 980
Bwana Jaji Mkuu, Masaju, unaweza kusikiliza maneno ya ROSTAM AZIZ ambaye alizituhumu Mahakama kupokea maelekezo kutoka Serikalini na kwamba ndiyo sababu kubwa wafanyabiashara wanakwenda katika Mahakama za kimataifa. Kwa hiyo jibu la nani anasema Mahakama hazipo huru, USITUSUMBUE
Hapa ni Musoma mjini,
Baada ya Idd Amin Mama kuzima umeme na mitandao haya ndo mateso ambayo walikuwa wanawapa Watanganyika halafu walikuwa wakimaliza kuwatesa wanawapiga risasi.
Hili ni tukio la Oktoba 31, 2025
#TanzaniaIsBleeding#SamiaMustGo