Nimeanzisha mtandao wa video-sharing kwa ajili ya content creators ku share, Monetize and make money from their videos! Check it out
https://t.co/hGqrObWuTs
Naanzisha mtandao wa utakowapa content creators, Wasanii na medias uwezo wa kushare videos, ku-monitize videos zao na kutengeneza pesa kiurahisi zaidi kuliko Youtube.
Najua kuna changamoto kwa content creators wa Tanzania kwenye kufaidika na YouTube, kuna ugumu wa kupata malipo kwenye Youtube na mara nyingine malipo ni madogo sanaโฆ
Nimeambiwa uhitaji wa masomo ya filamu kwa kiswahili ni mkubwa sana. Nikaona ni vyema niwaandalie kitabu hiki maalumu kwa ajili ya mtengenezaji wa filamu anayeanza, mzoefu na hata aliyesomea tayari kwani humu nimetoa ufafanuzi mkubwa. Toa oda yako sasa.
#FilmProductionStages