Nilimtengenezea Shemeji yenu mkeka Kanji akaaibisha ofisi akanipuna mbele ya demu wangu, Demu akawa analalamika sana ikabidi nimrudishie stake yake…
Mchumba akagoma kupokea stake yake akawa anataka nimpe ile possible win ilokuwa inasoma kwenye ule mkeka. 😂🙌