Kuna statement moja taangu nakua naisikia ikisema,mchawi hawezi kumfuata kumroga mlevi na mvuta Bangi 😂 nikacheka ni sahihi
-Sababu watu wote wanao rogwa ni wenye Nyota na mvuto ,sasa walevi wengi na wavutaji wengi wameshapoteza Nyota na mvuto machoni mwa watu 🧠🧠👊👊
10:ASANTE MUNGU HAIKUA RAHISI HAPA
NI UWEPO WAKO KUNITOA SHIMO
NIDHAMU NI MUHIMU
Stress uziponyi kwa pombe jua watu wa sakolojia wanasoma kuokoa watu kisaikolojia
Pombe huwezi Lewa Kama una stress nikuupa mwili alcohol tu na maumivu🙏
10:ASANTE MUNGU HAIKUA RAHISI HAPA
NI UWEPO WAKO KUNITOA SHIMO
NIDHAMU NI MUHU
Stress uziponyi kwa pombe jua watu wa sakolojia wanasoma kuokoa watu sio pombe 🙏
9: 10:Nikaja kugundua maisha ya vilezi ni yakujikopesha uhai ni lazima ulipie ,hapo sasa kudata,kupoteza watu vilevi vilini poteza mpaka watu wa karibu,magonjwa ya zinaa ambayo ovyo ovyo apa sasa 🤭ila U.T.I za kila siku
Nasema Hivi Kwanini moyo Wangu uliuma kuangaika na mateso
11:ASANTE MUNGU HAIKUA RAHISI HAPA
NI UWEPO WAKO KUNITOA SHIMO
NIDHAMU NI MUHU
Stress uziponyi kwa pombe jua watu wa sakolojia wanasoma kuokoa watu sio pombe 🙏
10:Nikaja kugundua maisha ya vilezi ni yakujikopesha uhai ni lazima ulipie ,hapo sasa kudata,kupoteza watu vilevi vilini poteza mpaka watu wa karibu,magonjwa ya zinaa ambayo ovyo ovyo apa sasa 🤭ila U.T.I za kila siku
Nasema Hivi Kwanini moyo Wangu uliuma kuangaika na mateso
8:Pombe ni tamu niliamini ni tiba ya stress na bange pia ila chanzo cha Mimi kuachana na Hivi mambo zimewahi nifanya kitu kibaya sana,aise POMBE NI JANGA Kama kuna uwezekano wakulitenga ili janga litengwe 😖🤧
7:Narudi home nimepagawa mama analia Hivi ni wewe, dah Oyaa naingia uswahilini napiga,kazi na Konyagi ni lazima,mama hakunikatia tamaa kanisaidia kwa maombi sana dah noma 🙌
6:Picha linaanza naona ugumu namaliza sasa naanzaje mtaani nimechaka sio kwa maisha ile ni pombe nipo hoi,mbaya zaidi mama yangu anajua mm ni innocent sana kumbuka Mimi naharibikiwa,nishatoka home koo nipo mbali na nyumbani,natamani kuacha pombe na bange ,cigarettes vitu ngumu
5:Hapa sasa 🤭🤧pamoja na bange na pombe nikawa na kismart sana cha kua na wadada 😂👋mtanisamehe niliwatesa sana kwakuamini tabaki vile vile bila kujua kesho yangu
3:Ndio nasikia,pombe sasa ikanikaa vilivyo ,nikaona sitoshi kwenye starehe moja,sasa nikaona bange itanifaa na cigarettes dah,huko Ndio nika enda kuaribu kabisa,mwanzo wa jamii kunitenga hapo nipo Chuo nasoma ualimu 2015,nilitegwa na Chuo kizima 🤧🙏
2:Kwenye pombe nilikutana na madaktari wengi sana,Mimi nawaita wakemia apo Nicheke kwanza😂,mwanzo brother Wangu mmoja saivi ni mchungaji bwana yesu asifiwe 🙌,alikua ananielekeza vichanganyio vya pombe Kali ili nisiunguze koo,lakini too late Mimi nilikua kapiga KAVU KAVU 🔥
1:Leo nizingumze kidogo na vijana Wangu
Iko hivi tabia nyingi mwanzo kuzianza ni rahisi
Picha linanza naanza kujifunza kula drugs pombe/Bange na Cigarettes niliona Kama kawaida,ila kadri siku zinavyo zidi kwenda,nili faidi sana maisha kwa kuhusu na pona stress 🙌
Kila mtu ni mbinafsi,watu huita wenzao wabinafsi kwasababu ya ubinafsi wao,Acha nikueleze kitu sasa uelewe,kila mtu anafanya kitu kwa matakwa yake mwenyewe,ukifanya kinyume na matakwa yake Ndio lazima akuite mbinafsi,ubinafsi ni Hali ya kujipenda mwenyewe tunaita PERSONAL NEEDS
Ukipenda sana pesa,utapoteza watu wengi
Lakini ukijiwekea akiba ya pesa ni njia rahisi ya kusaidia watu 📌
When you love money, you lose people. When you amass money, you gain the power to help them.
Jitahidi sana kutofautisha mke na ndugu ili familia yako iwe na amani…🪫
Mama yako akiwekewa mkeo na mdogo wako, atachagua mtoto wako, wewe ukiwekewa mke wako na mdogo wako ,lazima uchague mke tu
NB:Ndugu wasaidiwe wakiwa mbali ili kuleta maelewano ya kifamilia 🫡
✨Muombe Mwenyezi Mungu akupe:
1. Neema ya kukubalika
2. Neema ya kuaminika
3. Neema ya kupendelewa
4. Kibali katika kila sehemu utakayo kanyaga.
Amina. 🙏