Vijana tuwe na tabia ya kumgeukia Mungu, hata katika hali ngumu, omba Mungu, Kuomba ni njia ya kutafuta nguvu na faraja wakati wa changamoto. Mungu anajua kila kitu unachopitia, na anapenda kuonekana katika maisha yetu hasa tunapohitaji msaada.
#UsiendeKwaMgangaWaKienyeji.