Nikiwa highschool karibu niumishwe pillow because of seeking help buana... tulikua tunalipa 2000 za remedial, but sometimes ilikua rahisi kuget away nayo so watu walikua wanakula hizo pesa sometimes. So kuna time nilikua nimepewa nikitoka home nilipe, but sikulipa, nikatumia....
After campus nilibebaga vitu nikaweka home kwa mathee ati ikijipa nitamove out nazo, pole pole mathe akaanza kutumia sahi ni zake, after graduation heri uende ukiendaga kurudi home ni kuanza zero.
Na vijana sasa siri ingine,manake mahali mimi nimefika expirience niko nayo,ikikuja ni kuoa mwanamke,usioe mwanamke mrembo saidi. Kuoa inataka unaoa mwanamke anakaa msuri,lakini sio sana. Kwa scale inataka unachesea 5.5 to 6, ikienda sana 7. Na ata huyu 7 lazima akue na kashida flani yenye inamtoa marks anarudi tano,kama labda ako na mguu kubwa,kiatu anavaa size 63,ama ako na vidole extra. Hawa ndoa huwa inadumu,sababu hawa ni watu wanajua soko iko namna gani,sio kurahisi
Ukienda uoe mwanamke scale ya 8/9, hapo naye utaitana. Hii wanawake unajua haijui shida,huyu ni mtu alianza kukatiwa akiwa class 7 bwana. Ametongoswa mpaka Kichwa imefura kama mtungi ya busaa. Vita kidogo kwa ndoa ameitisha divorce,kama huyu wangu nilioa juu lightskin amenionesha mambo. Unajua analia ngozi inakua pink,Kama runguruwe. Nikikataa kulipia netflix sababu iko na usenge mwingi anaanza kulia, yani mwanamke hajui maisha ni ngumu. Alafu kazi ni kuniambia vile baba yake alikua anapatia yeye kila kitu
Mimi mungu wangu ukiwesa nihurumia unirudishe 2022, nitakwamilia na ule Caicedo ulikua umenipatia kapsaa,Ule ata alikua ananichukulia loan Mwalimu sacco bwana. Eih! My fada! A woman is only as beautiful as her problems. Khabusie!
After graduation, some friends you'll never see them again sio kwa ubaya but hivo ndio kuko. Wasee hutoka hapa nje maisha inakuwa tough ka ghasia unaingia site kuingia 7 unatoka 6 unakosa masaa ya friends kabisaa after few years responsibilities za ndoa zinakupata. End of an era