@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM Maandiko yanasema mtawajua kwa matunda yao,,,, na kama hawaendi sawasawa na Sheria na ushuhuda,, there is no light in them.
Waacheni hao ni viongozi vipofu na kipofu hawezi mwongoza kipofu mwenzake.
Kuepukana na wachungaji Hao ndio suluhisho.
#Tafrija@Mtotomzuri001
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM Tamuu sana kuliko ya Jana,,, it's Tafrija time na nimeingia ndani hadi mida yake ya mbili kamili.
@Mtotomzuri001 nakupata kwa uzuri nikiwa humu humu mjini jirani yako hapo UoN.
#Tafrija.
@RadioTaifaFM
"Hii Ni Kubwa Na Si Chocha"
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM Katika Maisha ni Fumbo nimejifunza jambo kuwa :
1. Waliokudharau Siku Moja watakusalimia kwa heshima.
2. Ubora wa mtu umo ndani ya mtu mwenyewe,,, sio kwa masomo pekee yake.
#Tafrija(Maisha ni Fumbo)
@RadioTaifaFM@Mtotomzuri001
"Hii ni Kubwa Na Si Chocha"
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM Sijui ni nini imetuingilia sisi kama vijana wa kileo?
1. Nadhani Kuna utepetevu kwa wazazi katika kuwekeza maadili kwa vijana wetu Siku hizi.
2. Wazazi wawache kutelekeza na kuwabembeleza watoto,,, warudio mapito ya zamani.
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM Wafisadi wakubwa ni sisi wakenya tu,,, na inaonekana viongozi wetu ambao tunachagua.
Tujihoji sisi kwa sisi na tuweke Sheria kali.
Raia, polisi na mahakama wanatufeli.
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM Katika Maisha ni Fumbo nimejifunza jambo kuwa :
1. Hujafa haujaumbika.
2. Tenda wema nenda zako,, ya Kesho hatuyajui
3. Walemavu ni binadamu pia tusiwatenge,,, "Disability isn't Inability".
#Tafrija(Maisha ni Fumbo).
@Mtotomzuri001@RadioTaifaFM
"Hii ni Kubwa Na Si Chocha"