@chapo255 EFM bhn😂
Kwny vipindi vya entertainment hasa kuhusiana na muziki wa bongofleva na mambele bado hawajajipata vizuri, ukicompare na singeli's content.
Jonijoo X Dozen ile kombo ilifeli.
ata hii ya Transformer haijakaa vzr.
Mi naonaga kipindi aina ya XXL vinahtaji watu wa3 tofaut
Kaka, Umewaka sana.
Ila kaka mimi nina ombi kama lipo ndani ya uwezo wako naomba unipatie ata kibarua maana nina degree ya BAEST udom ila nipo jobless, Mama(Single mother) na mdogo wangu wananitegemea sana...Natanguliza shukrani.
#Boniyai ✌🤝
Mtume Muhammad S.A.W anasema
"Kama mtampenda Mungu (Allah) kiukweli,basi tumfuate yeye,naye Mungu atatupenda na kutusamehe dhambi/maovu yetu,kwa kuwa Mungu (Allah) ni mwenye kusamehe na kuturehemu
Tumtii Mungu (Allah) na Mtume wake,lakini kama hatutofanya hivyo basi Mungu hapendi watu wasio amini"
Aal'Imran 3:31-32
Leo nimeungana na Waislamu Duniani Kote Kusherekea Siku ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume Muhammad S.A.W
Nachukua nafasi hii kukushukuru kwa Moyo wako ndugu @TriciaAbou
Nilikupa taarifa kuwa na Kigoma kuna uhitaji wa Majuzuu kwa vijana wa Madrasa.
Hakika ulinipigia kuwa yamepatikana Majuzuu 100, uliyaagiza.
Napenda kukujulisha kuwa yamefika salama kabisa.
M/Mungu atakulipa🙏
Dada Trica....
Nimesoma Udom na nna degree ya Uchumi
Nina Account IG yenye followers 12K+
Nahitaji kazi ata ya kua winga tu wa Bidhaa zako....
Tafadhali