@barakawamb@ChademaTZ2 Sishangai kwani wafuasi wengi wa CCM akili zenu mmeziweka kando kisha fuvu linasukuma body. Anyway CHADEMA ni kama tissue ndogondogo sana ndani ya mwili,hivyo mtakufa nyie ili utukufu wa Mungu ujifunue, wauwaji wakubwa nyie. Fimbo ya Mungu ipo kazini.
CCM na vibaraka wake wapo serious sana kumchafua @HecheJohn. Hahahaa hahahaa nacheka kwa nguvu saaana. Sasa mkishamaliza kaproject kenu fungueni mikutano then mje kwa FIELD muone watanzania walivyotoka kwenye ujinga wa TANU hadi kuseek ukombozi. Nawasubiri sana.
GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
@joharimshana Usiseme watu hawaitaki siasa, Sema wananchi wamechoka na serikali. Pale FA hakutaja siasa bali alisema serikali ya awamu ya ............... raia wakaja juu kumwambia hebu weka kando hiyo mambo fanya kilichokuleta kwa stage and just leave
Mnambeza @HecheJohn kula pesa, kumbe hamjui sisi ndio tunampa ili gari isisimame? Siasa za ruzuku za mifukoni mwa watu zimeshapitwa na wakati. Huku ni uwekezaji wa wananchi (people-powered movement). Mtaongea sana lakini mafuta tunaweka sisi na safari inaendelea! ๐คท๐พโโ๏ธโฝ
@maestrowafact John Heche amekuwa akitumia msemo maarufu wa:
โ"Changieni chama mafuta, gari isisimame!"
โWakati mwingine anautumia kwa kifupi kabisa anapohamasisha wanachama kuchangia rasilimali akisema: "Weka mafuta, chama kisonge mbele!"
Sasa nyie nyumbu mnaumia wapi?
@amina_hafidh Nenda kawaambie CCM kuwa walipa kodi tunataka hivi, Watu wote waliotajwa kwenye ripoti ya Controller and Auditor General [CAG] wawajibishwe hadharani kisha mje na ruzuku za CHADEMA. Hata kama @HecheJohn anakula pesa zetu ni sisi tunaompa tena kwa moyo wa upendo sana na haimtoshi.
@barakawamb Oya nyie walamba chuchu, sisi tushakuwa sasa hatuna utoto huo. Hiyo michango ni yetu, mwacheni ale. Na nyie tuibieni sasa kwenye kodi za mafuta mle.
@SuphianJuma Kwanza @HecheJohn baba pigilia ule msumari wako wa "Siwezi kukipeleke chama kwenye maridhiano bila mwenyekiti [Lisu] aliechaguliwa na wajumbe wa kamati kuu" huwa napenda sana haka kamsimamo mzee.