๐ข The list of selected applicants for MUHAS postgraduate programmes (Regular Window) for the 2026/2027 academic year has been released.
Applicants are encouraged to check their selection status through the link below:
https://t.co/CU3J6YfYi2
Congratulations to all successful applicants, and welcome to MUHAS! ๐
#MUHAS #PostgraduateAdmissions #MUHAS2026 #HigherEducation #HealthSciences
AFRICA'S ECONOMIC COMPETITION IS WILD
1.๐ฟ๐ฆ South Africa RECLAIMS the #1 spot - $480B
2.๐ฆ๐ด Angola overtakes ๐ฐ๐ช Kenya for 6th in Africa.
3.๐จ๐ฉ DR Congo CRASHES into the Top 10 at #8.
4.๐จ๐ฎ Ivory Coast now DWARFS ๐น๐ฟ Tanzania.
5.๐น๐ฟ Tanzania thrown OUT of the Top 10 falls to #12.
6.๐บ๐ฌ Uganda overtakes ๐น๐ฟ Tanzania in GDP PER CAPITA first time in 30 years.
Source : IMF GDP/GDP per Capita, 2026
Mfano Kama mshahara umebaki TSh 5,000,000 lakini bei za bidhaa zimeongezeka kwa 10% basi uwezo wa kununua umepungua hata kama $ haijabadilika
Kama Tsh imeshuka dhidi ya USD lakini bei za ndani zimebaki karibu vilevile athari kwa maisha yako ya kila siku inaweza kuwa ndogo sana
Kusema โumepunguziwa mshaharaโ ni kauli ya kuvutia lakini si sahihi
Sahihi kusema, Mshahara wako umepungua thamani ukipimwa kwa USD
Kipimo sahihi & bora zaidi kwa maisha ya kila siku kibongo bongo ni mfumuko wa bei (inflation)
๐น๐ฟ Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
โ TSh 294,320 kila mwezi
โ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.