Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. 😁
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Mhandisi Upendo Mbelle, amesema TBC imepewa haki miliki ya kurusha matangazo ya michuano ya Kombe la Dunia hivyo chombo kingine kitakachorusha matangazo hayo bila ridhaa ya TBC kinaweza kuchukuliwa hatua za kisheria.
Kaimu Mkurugenzi huyo amewataka wenye nia ya kurusha matangazo hayo kufika zilipo ofisi za TBC ili kuingia makubaliano ya kurusha matangazo hayo kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria
TBC ambalo ni shirika la Umma Nchini limekuwa likionesha michuano hiyo bure kabisa pamoja na kufanya uchambuzi wa mechi za Kombe la dunia kwa lugha ya kiswahili.
1.“What holds water to a globe?”
Gravity. “Down” is toward Earth’s center everywhere on the planet. Oceans settle along that gravitational surface (sea level). If gravity couldn’t hold water, it couldn’t hold air either—but we clearly have an atmosphere.
2.“How is there air if space has none?”
Gravity holds the atmosphere just like it holds the oceans. Gas pressure gradually decreases with altitude until it becomes extremely thin. Space isn’t “anti-air”—it’s just very empty.
3a) “Why doesn’t the Sun light up space?”
It does. You see light only when it scatters off matter. Space is mostly empty, so there’s little to scatter sunlight toward your eyes. That’s why astronauts see a bright Sun but a black sky.
3b) “How do sun rays pass through water around Earth?”
They don’t—because Earth isn’t inside a water shell. Oceans are on the surface, atmosphere above them, then space.
4.“How do planets without daylight measure time?”
A “day” is just rotation. You can measure rotation relative to stars, orbital motion, or with atomic clocks—sunrise is just a human reference point