Muda ni mwalimu MZURI
Naona leo John Marwa wa Jambo TV upo Makao Makuu ya CHADEMA unarusha live press ya Makam huku ukitumia page ya Chadema Twitter (Followers 700k+) ambayo akina Mrema waliiba then wewe umeibadili jina na kuiita Royol Media.
Acha utapeli rudisha page yetu.
Asante Wakili Jebra. Uamuzi wako wa siku ile wa kujiondoa kuendelea kusikiliza kesi, baada ya Jaji Mwanga kupuuza sababu zako za kuomba hairisho la muda mfupi ili kuhudhuria mazishi, haukuwa wa kawaida. Ilikuwa ni mpango wa Mungu. Kwani usingechukua hatua hiyo, ungehalalisha zuio batili na leo lingeonekana halali.
God bless you Bro!!
Maandamano ya kihistoria siku ya ufunguzi wa Afcon 2027.
Hawatoweza kuzima internet, hawatoweza kujaza askari na mitutu ya bunduki barabarani, hawatoweza ku-lockdown watu.
This is a chance of a life time kuleta haki kwenye nchi yetu….
Tuitumie afcon 2027 kuonyesha dunia kuwa Watanzania tunapambania uhuru na haki kwenye nchi yetu na kwamba tunahitaji msaada wa dunia.
Hakutakuwa na Afcon Tanzania ila kutakuwa na maandamano ya kudai haki…………..
Maandalizi na grassroots campaign zianze sasa.
@Sativa255 CLU3M0JE34L Confirmed. Tsh1,000.00 sent to 255797527876 - ALUTE SIMON MUGHWAI on 30/12/25 at 8:29 PM Total fee Tsh30.00 (M-Pesa fee Tsh30.00 + Government levy Tsh0.00). New balance is Tsh370.39.
Kaka tayari ...