RELI YA SGR YA TRILIONI 7.4 TABORA-KIGOMA, KUIGEUZA KIGOMA KUWA KITOVU CHA FURSA - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora hadi Kigoma ni hatua muhimu katika kuimarisha usafiri na
*Barabara ya Mlima Kitonga Kuboreshwa kwa Njia Nne na Kuwekwa Taa*
Serikali imepanga kuboresha barabara katika Mlima Kitonga kwa kuijenga kwa kiwango cha njia nne pamoja na kufungwa taa, hatua inayolenga kuongeza usalama wa watumiaji wa barabara, kupunguza ajali na kurahisisha
*HAPA SIO ULAYA NI SUMBAWANGA, UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE WAENDELEA KUIMARISHWA*
Serikali inaendelea kuboresha miundombinu katika Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga ili kuimarisha usafiri wa anga na kufungua fursa zaidi za kiuchumi katika eneo hilo.
*JKCI Yaanzisha Maabara ya Kisasa ya Roboti Kuboresha Huduma za Uchunguzi*
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutumia maabara yenye teknolojia ya roboti, ikiwa miongoni mwa maabara kubwa na za kisasa barani Afrika, yenye uwezo wa kupima zaidi ya sampuli 5,000 kwa saa
*RELI YA SGR SASA KUFIKA BURUNDI NA DRC*
Tanzania, DRC na Burundi zimekubaliana kuanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ya zaidi ya km 900 ili kuunganisha nchi hizo na kurahisisha biashara na usafiri. Makubaliano yalifikiwa Machi 31, 2026 mjini Kinshasa, na mradi utahusisha njia
*“MIAKA 99 YA JESHI LA CHINA IWE CHACHU CHA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA ULINZI NA TANZANIA” DKT RHIMO NYANSAHO*
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya
*UIMARISHAJI WA ULINZI NA USALAMA, DIWANI KATA YA CHANG'OMBE MHE.CAROLINE AKABIDHI PIKIPIKI KWA POLISI JAMII.*
📍*KATA YA CHANG'OMBE*
🗒️*20/07/2026*
.......
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Ruto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
kwa Ziara ya Kitaifa,
tarehe 04 Mei, 2026..