Madem hunishtua saana, ama tuseme hunishangaza saana, ama tuseme hunichekesha saana, the moment you almost there 🎉 ndo wanaona vijisababu za kukuacha, like ameteseka na wewe, the moment to unaenda kukafunga, hata haoni surely anakuwacha, alafu ukishaa bag mwingine anarudi 😂💔
Intentional boyfriend manyoya , msichana hautakaa tu kwangu bila kuleta any value alafu unaleta upus ya if i wanted I would , do something tengeneza ata bed jameni 😐