@nyande23@TheRealJongwe Daaah umenikumbusha mbali 2010 jiji pale paliwaka walichoma ofisi ya ccm pale nera wakapasua ekacrif vioo na geti lile la jiji watu wakabomoa aisee ilikua mtifuano nakumbuka walikuja wanajeshi tunasubiri matokeo tukajua tumeisha kumbe nao hata hawana noma ,Wenje na Highness daah
-Kila mwanzo mpya huja kutoka mwisho wa mwanzo mwingine.Wapendwa wateja tunaanza na hii Goodmans High power base party speaker kutoka UK sauti yake ni zaidi ya studio ina bluetooth,betri kubwa watts 60 inakaa hadi masaa matano,ina base kubwa sana kwa ajili ya nje,sehemu ya flash,