@MadarakaNyerere Rushwa ufisadi na ulimbikizaji hujaona kama changamoto umeona risiti pekee sababu unawamudu wananchi ๐ญ๐ญ๐ญ tulidanganywa sana uhuru natamani tungekuwa chini ya wakoloni hadi leo maisha yangekuwa mazuri mnoo wakoloni ni watu wema sijui kwanini tulitaka uhuru
@stocktz@godbless_lema Kuwa makini hata dadako anaweza kuwa anapenda pesa na malaya kwa moja kwa moja au indirectly so suala la uelewa halipo tribe oriented
@Luvandalugano47@AllyAssed13070 Vilaza gani saiv shule unasoma unalalamika hauna ajira ni wengi hawana maarifa ya kuajiriwa tafuta wengi waliomaliza 2012-kurudi nyumba shule imeingiliwa na siasa saiv NECTA ilikiwa independence institutions inatangaza matokeo bila kupokea maelekezo ya waziri na Pm