The day I'll receive dollars za Elon watu hii kijiji yetu sijui kaa watapumua najua nitagongea ady chief na plus kwetu hakuna kitu itakuwa ikipitishwa kwa familia yetu before am consolated.
IPO SIKU
Leo nawakumbusha pia kwamba, let us visit therapists. Unajau pia yeye mkiacha kumtembelea atakosa ya rent na chakula? Sasa akianza kupata stress aanze kuchizi unajua tutakuwa wengi who are mentally unstable? Let's be considerate aki. Try visiting Mbithi maybe he will grow taller
Ile kitu uchungu sana hii app NI kuretweet Za tweeps wengine alafu they never do that for you. Mimi iko siku nilikuwa naguza Sana Bana, but ni kama watu walikuwa wanaamua Tu kuskip zangu. Hii Kenya buana NI siamba la mawe
The only people who succeed are those who can fit into multiple spaces. Ukienda USA unafanya chenye watu wa huko wanafanya. Ukienda Maasai unafanya chenye wanafanya. Sio aty ukienda Mahali unaanza kutafuta watu tribe yako ndo muishi nao.
Ukienda Roma kuwa mroma
I was going to buy breakfast then Baba junior akaleta kinyoriro😂😅sasa I'm having to stand here and pretend like I'm waiting for something until he agrees to relax😂💔
Payday ya leo inanikumbusha vile mnaija fulani aliwahi create crypto tukamine tukiexpect iwe listed kwa binance only tupate ilikuwa scam on the material day. Nilikuwa na 40 million buana.