Inategemeana na lengo lako Mbuzi aina gani wa nyama, maziwa, au mbegu. Uwe na zizi la kisasa.Tengeneza sehemu tofauti kwa ajili ya kula na kulala. Lishe bora kama
Majani ya miti (Leucaena, Calliandra), pumba, mashudu, na madini. Maji masafi ya kunywa.
Faida ya zero grazing unawadhibiti mbuzi vizuri. Kuzuia maambukizi ya magonjwa ya kuchunga. Maziwa au nyama inakua na ubora wa juu. Ni rahisi kufuga hata ukiwa na ardhi ndogo.