Nchi hii ufisadi na utapeli kila mahali nyegezi stand ya bus ticket ya kuingia stand TSH 300 ukitoa 500 hawana Chechi ukininua tickets mfano zaidi ya moja ata kama mpo watano mnaambiwa mtumie ticket moja na pesa wanakata serikali itapata mapoto kweli ?
Too sad and pathetic
Hawa madogo wa afya hapa rusumo Kwa jinsi wanavyo penda rushwa paka wanajisau yani wanalazimisha paka wanajisau @wizara_afyatz Kuna malipo ya ebola mtupe majibu tunalipiaje
bint amepotea Leo hii majira ya saa 9 mchana. Maeneo kivule , jina lake ni nurraty ana umri wa miaka minne . atakaemuona tuwasiliane kwa namb 0773810930
*ANATAFUTWA*
Anaitwa Safina Ally ana umri wa miaka 20... ni mlemavu hana miguu hivyo anatembea kutumia magoti na mikono (anatambaa) anatatizo pia la akili na ndio sabab kuu inayomfanya atoroke. amepotea kuanzia jumamos (03/10/2026)