#TajiriLaKihaya
Tatizo kubwa ambalo baadhi ya viongozi wetu wa CHADEMA wanalo ni kushindwa kuuelewa na kuuheshimu mpira wa miguu kama sehemu ya maisha ya vijana.
Huwezi kushinda mioyo ya vijana kwa kuwaambia waache ushabiki wa mpira halafu wajikite kwenye siasa pekee.
Huo si uhalisia wa dunia ya leo.
Katika nchi nyingi tunazozitaja kuwa zimeendelea kidemokrasia, mpira si mchezo tu….ni utamaduni, ni utambulisho na kwa wengine ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.
Mpira unaendelea kukua kwa kasi kubwa sana.
Leo si wanaume pekee…wanawake, watoto na watu wa rika zote wanaufuatilia kwa shauku kubwa. Kuupuuza au kuubeza ni kujitenga na kundi kubwa la vijana ambao ndiyo nguvu ya taifa na ndiyo wapiga kura wa leo na kesho.
Tulianza kuona ushindani wa Simba na Yanga ukikua kila mwaka,licha ya kila siku kuupiga vita…Badala ya ushabiki kupungua, umeongezeka.
Sasa tunaona vilabu vya Ulaya kama Arsenal, Manchester United, Chelsea, Liverpool na vingine vikivuta maelfu ya vijana. Hii ni hali ambayo haiwezi kuzuiwa kwa kejeli wala dharau.
Kilichotokea jana Kijitonyama ni ushahidi tosha. Maelfu walijitokeza kushangilia mpira… licha ya kuipiga vita na kubrand ni ya MAMA…
Je, hiyo ina maana wanapenda CCM? Hapana. Ina maana wanapenda mpira.
Hivyo ni kosa kubwa kisiasa kuchanganya mapenzi ya mpira na misimamo ya kisiasa.
Badala ya kupambana na mpira, tunapaswa kujifunza namna ya kuwasilisha ajenda katika maeneo ambayo vijana tayari wapo.
Ukiona watu wamekusanyika kwa maelfu kwa ajili ya mpira, hiyo si adui wa siasa…ni fursa ya kuelewa nini kinawavuta vijana na namna ya kuwasiliana nao.
Kufikiri kwamba kutoshabikia mpira na kujadili siasa muda wote ndiyo ishara ya usasa au uelewa mkubwa ni fikra potofu.
Mtu anaweza kuwa shabiki mkubwa wa mpira na wakati huo huo akawa raia makini anayefuatilia masuala ya demokrasia, katiba, uchumi na maendeleo ya nchi.
Siasa zinazofanikiwa ni zile zinazowaelewa watu walipo, si zile zinazowalazimisha watu waishi kwa namna ambayo wanasiasa wanataka.
Kila ifikapo Tarehe 29 nyoyo zetu zinaingia unyonge na simanzi kwa sababu ya ukatili mkubwa mliotendewa pasipo hatia yoyote.
Endeleeni kupumzika kwa amani 💔
Leo ni 29/5 hii ni siku ya MAOMBOLEZO ya kitaifa.
Weka hapa picha na video za MAUWAJI waliyofanya WAKOLONI WEUSI #MO29 kwa ndugu zetu.
#Hatutasahau#MO29
REPOST.
Inatimia miezi saba toka tupoteze ndugu,jamaa, na marafiki maisha yao yamekatizwa adi Leo hakuna alie wajibishwa zaidi ya kuuficha ukweli😭😭💔
R.I.P MO29💔🕊️
Keep resting in peace, Clara. Uliuwawa kikatili sana Samia Suluhu akijilazimisha kuwa rais.
Hope she smiles akiona picha yako na za maelfu aliokatisha ndoto zao; an evil of woman.
Mitaa ya X inakulilia.
Rest in peace, mdogo wetu.
#TanzaniaMassacre#MO29
@EsirEid Sijui Mzito Anakwama Wapi
Vunja Baraza La Mawaziri
Fukuza Wakuu Wote Wa Ngazi Za Usalama
Timua Ma Afisa Wote Wa Ikulu
Mwachie Lissu
Futa Kesi Zote Za Kisiasa
Wape Ruzuku Na Malimbikizo Yao
Waruhusu Wafanye Mikutano Ya Kisiasa
Kwenye Kuteua Teua Sura Mpya Kabisa.
Ruhusu Hoja.
Marekani wakiamua TANZANIA iwe state ya 52 Ya USA Kila Mtanzania apewe 10,000$ kianzio, na apate huduma zingine zote kwa hadhi Kama mmarekani
Najua kwa maisha yalivyo magumu watanzania wengi watakubali 😁👇🏾