#QwetuKazini@QwetuRadio@DorahManya Wife material,mwenye ako na heshima kwa bwana,yule hangalii simu ya bwana,hakuna kuhuliza bwana mahali amelala kama amelala inje,kwa bed awe tayari any time you need her without condition.That is now the wife material .
#qwetuasubuhi@QwetuRadio@maroa_wambura Mimi nimehesabiwa lakini swali nyeti ilikuwa ni uko na watoto wangapi inje ya doa mbele ya family yangu?? Bibi alifurahiya sana lakini niliwaruka mita mia moja.
Mwimbieni Bwana; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote. Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako~Isaya 12:5-6
#QwetuKazini@QwetuRadio@DorahManya Awamu ya bili niko ndani kama kawa,hii census wana maswali nyingi sana kwa watoto na bibi,mpango wa kando,mbele ya watoto na bibi,A real man you don't disclose your life history in front of your family.watapomoa ndoa nyingi
#qwetuKazini@QwetuRadio@KakaJPJunior1 Awamu ya bili niko ndani pila samahani ,,Team kibra,Evans Likhanga,Million Victor,Shehe Kahindi,Colo,Mbinda jumaa,Peter Githina wote wako locked 95.3 kauti no 47.
#QwetuKazini@kakajpJNR@QwetuRadio Awamu ya pili niko ndani kama kawa,mwanaume kamili nilazima uwe na watoto inje ya ndoa ,na hata kwa bibilia sio makosa,soma King Solomon .