Kitila anasema bila kupambana na CCM hakuna namna tutapata #KatibaMpya anasema CCM wanatumia ubabe kama nchi nyingine za Afrika
Kitila anasema bila kutoa CCM madarakani hakuna katiba Mpya tutapata, Wananchi ndio chimbuka la katiba sio serikali au chama Tawala
Huyu Mbunge hajaona jinai kama mwakikishi wa wananchi ila kuna kenge mmoja majuzi tulikuwa nae tukimsakama uncle Magu na wakati mwingine tukamsakama sa100,
Ety leo hii yeye anajiongelesha huko bungeni kama anaejikaza kujamba,
ooh hakuna mikutano ya kisiasa, who are you Mr katambi?
Mwenye authority ya kusitisha mikutano ya kisiasa kwasababu za kiusalama ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, cyo ww ndezi,
Hali ya hatari nchini hutangazwa na na Mkuu wa nchi ambaye ni rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Rejea kwenye katiba ya nchi yetu, soma ibara ya 32, au acha ninukuu kwa manufaa ya wengi
"Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 32 – inampa Rais mamlaka ya kutangaza hali ya hatari endapo anaona kuna mazingira yanayohitaji hatua hiyo, kwa kufuata masharti na taratibu zilizowekwa na Katiba. Tangazo hilo pia linahusisha ushiriki wa Bunge kwa mujibu wa taratibu za kikatiba.
Jiheshimu bamdogo
"Ndugu zangu Watanzania tupo kwenye matatizo nikitaja tatizo moja moja, haya mambo ya Nchi hii ukiyajua unaweza kufa na presha ndio maana mimi nakonda kila siku kwasababu unasoma unajiuliza hawa ni binadamu wa kawaida au wamelogwa?"
"Unakuta kamtu huku kanakonyonywa kiasi hicho halafu eti yupo CCM, unamuangalia unamuacha. Tajiri au hawa watu wanaonufaika na CCM nawaelewa kwasababu wao wanajificha humo, wananufaika."
.... Wewe wa Mpanda hapa ambaye unaharibu maisha ya mtoto wako inakuaje unawaunga mkono watu hawa wanaotaka kusamehe matajiri wakunyonye wewe maskini?"- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, akizungumza na wananchi wa Mpanda Mjini Mkoani Katavi, leo Juni 25, 2026 kwenye Viwanja vya Kashaulili.
"Nimemsikia Kitila Mkumbo (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji) anasema CCM italeta Katiba mpya. Kitila Mkumbo nchi hii sio mali yako, Nchi hii ni mali yetu sote. CCM imeshindwa kuleta Katiba tangu 1991, Tume ya Jaji Nyalali ilisema Watanzania wanahitaji Katiba mpya mwaka 2014 Tume ya Jaji Warioba ilisema wanahitaji Katiba mpya na wakakusanya maoni na CCM hawakuleta hiyo Katiba.
"Sasa kama hamtasikia na tunajua kuwa kenge hasikiagi mpaka damu zitoke kwenye masikio, tumeanza mikutano ya hadhara na tunataka Mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) aachiwe kwasababu hana kosa na la pili tunataka Katiba mpya. Lissu ndiye atakayetupeleka kwenye Nchi ya maziwa na asali na amechaguliwa na Mwenyenzi Mungu mwenyewe, Kapigwa risasi 38, 16 zitakaingia kwenye mwili wake na amesimama kwasababu mwenyenzi Mungu anajua nchi hii aliyoipenda, akaichagua na kuipa rasilimali nyingi na maajabu sababu saba ya dunia, Mwenyenzi Mungu anatupenda na ametuchagulia mtu anaitwa Tundu Lissu ambaye atatupeleka kwenye Nchi ya ahadi."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara akizungumza na wananchi wa Tunduma jana Juni 24, 2026.
Tume ya Udanganyifu Mkuu chini ya Jacobs Mwambegele ndiyo iliyompigia kura Samia Suluhu Hassan na kumkabidhi uongozi wa nchi hii.
Wananchi wenyewe ndio hawa wapo kwetu.
"Nampenda mwanasiasa ambaye anasoma, tatizo wanasiasa wetu wengi sio wasomaji. Niliona jana Clip ya waziri anashindwa kueleza namna ya kuongeza thamani kwenye mazao ya uvuvi, sasa hii value edition ya uvuvi ni so basic! Kwasababu uvuvi unaanzia nchi kavu, watu wana vyombo gani? Ukienda feri pale unakuta watu 30 wanatoka na chombo kimoja wanakwenda baharini watakuja kesho asubuhi wakiwa na jodari watatu, vibua kadhaa na labda watauza laki na ishirini, watu 30 wanagawana shilingi ngapi? Kwahiyo ukitaka kuongeza thamani wawezeshe vifaa wapate boti kubwa nzuri na ziwe na uwezo wa kukaa baharini wiki nzima wawe na chakula, barafu ya kutosha ya kuhifadhi samaki na wakirudi wapate soko."
... Sasa unamuona mtu anapata shida kuzungumza mambo haya wakati mandate yako ni masuala ya uvuvi, inakuaje unashindwa kuzungumza? Kwahiyo unaona kwamba technical alitakiwa aweze kusema lakini unachokiona ni ama alipaniki au hana skills za kulisema jambo hilo, sasa tatizo linakuwa hapo. Mimi sifa yangu kwa mwanasiasa ni uwezo wa kusoma na kuwa mpana katika mtazamo wake." Amesema aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG Prof. Mussa Juma Assad wakati akihojiwa na M/S Podcast kupitia Mtandao wa Youtube leo Jumatano Juni 24, 2026.
😁🌎 José Mourinho: “What am I looking forward to in the World Cup? I want Real Madrid players to LOSE…
���because I want them back for pre-season with me in July! (smiles)”, told BeastModeOn.
🇦🇷🇫🇷 Kylian Mbappé: “I don't look at what Leo does. He's always scored, he scores, and he will always score. I've already said it!”.
“If I want to look at what he does, I'll have to do even more”.
SINGIDA, jiandaeni! Baada ya Kamati Kuu tunamalizia majimbo mawili ya Mkoa wa Morogoro, halafu tunahamia kwenu, kijiji kwa kijiji, mkoa mzima. Mood iko Top Class! Walisema CHADEMA itakufa, lakini muda unaendelea kuthibitisha tofauti. We are here to stay, and to conquer.