"Mnatoa Ruto muweke nani?" 😭😭
Hii swali ilikua inapenya hadi Kwa haga buana 😂😂😂lakini sai, kwa maombi yetu na kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu tunaweza sema na courage sisi ndio Sifuna
Kuna wakati nilikua nime kafunga mbaya sana . Pesa ilikua imenikubali kabisa. I took my boys around limuru buying school shoes nikaona waliangalia viatu zilikua zinaitwa Hansons. Kulikua na za brown suede na black . Those days school shoes were not really enforced and you could wear virtually any shoe . They couldn't make up their minds which one they wanted so I told them to buy them both ,kila mtu pair mbili mbili. It was one of the few times this people ever hugged me .
What am I saying ? Sometimes we can answer people's prayers at no inconvenience to us .
Am also saying Hawa vijana watume funds ,kwanza nimeskia chairlady akiongea kwa simu nikaskia nikama wanapiga sherehe sana . Pesa Iko.