Utafiti wa ZipRecruiter wabaini kuwa 1 kati ya wanafunzi 5 hujutia fani walizosoma baada ya kuingia kwenye soko la ajira. Sababu kuu? Ugumu wa kupata kazi na mishahara midogo kuliko matarajio, huku fani za sanaa huria zikiongoza kwa majuto.
Rais wa ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ, ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป, amemchukua na kumlea mtoto wa kike aliyetelekezwa katika mji wa ๐ก๐๐ฒ๐ด๐ฎ. Zoezi hilo la kumkabidhi mtoto lilifanyika tarehe 11 Machi 2026 katika makazi ya Rais, ๐๐ธ๐๐น๐ ๐๐ต๐ฎ๐บ๐๐ถ๐ป๐ผ, mkoani ๐๐ผ๐ฑ๐ผ๐บ๐ฎ.
katika hafla hiyo, Rais Samia alisisitiza umuhimu wa kulinda watoto, akisema kuwa watu wanaotupa watoto mara nyingi hawatambui uzito wa kitendo hicho. Aliwataka wazazi wanaoshindwa kuwalea watoto wao kuwapeleka kwa mamlaka halali au vituo vya kulelea watoto badala ya kuwatelekeza