Wadada kama Solana ndo walengwa wakubwa wa mradi wetu wa @wadadacenter wa kuwawezesha wanawake kiuchumi katika kutimiza malengo yao…
Kwenu wadada ambao mnajitambua mmesoma mpaka form four, mnaweza kufanya kazi za nyumbani kwa weledi mnajua kiingereza cha kuwasaidia watoto
Na Mungu baada ya kumuumba Adam akaona hajakamilika ndo akamuumba Hawa ili amkamilishe na kumsaidia KUTAWALA samaki wa baharini, ndege wa angani, na vyote vilivyomo chini ya jua 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Changamoto za Mifumo iliyowekwa na serikali katika kupambana na Ukatili… #Wanawakelive#Tbc1#UnawezaUsisubiri
@maendeleoyajamii @gwajimad @wildaftz @annakulaya_ @zakia_msangi_esq @hakizawanawake
Hii video Nimezungumzia vitu vya kufanya kama kweli tukitaka kumaliza ukatili katika jamii …. Hiki ni kipindi cha WanawakeLive tulichorusha wiki hii kupitia Tbc1…. Full video ipo kwenye Youtube ya WanawakeLiveTv
“Tusipokuwa na viongozi wengi wanawake wenye nafasi za maamuzi ambao wana mguso na janga la ukatili wa Kijinsia haya matatizo ya ukatili hayatakwisha” - @annakulaya_ Mkurugenzi @wildaftz
Full show ipo kwenye Youtube ya WanawakeLiveTv
Kipindi cha WanawakeLive kupitia TBC1 week hii tulikuwa na Mkurugenzi wa @wildaftz Ms. @annakulaya_
Focus yetu kubwa tumeelekeza kwenye harakati za kupinga Ukatili wa Kijinsia zimefanikiwa kiasi gani?
Ungana nasi muda huu Tuko TBC1 kama uko karibu na Tv yako tunatoa elimu kwa jamii hususan wanawake kuhusu fursa za uwezeshaji na kupinga ukatili wa kijinsia 👍🏽
Wanawakelive Msimu huu kupitia TBC1 tumeweka nguvu katika Fursa za uwezeshaji wanawake kiuchumi na kuelimisha wanawake kukataa vitendo vya ukatili na unyanyasaji 💪🏽
Cc @gwajimad @neec_uwezeshaji @meya_wa_jiji_dar
Taasisi yetu ya @hakizawanawake inasaidia Wanawake Kupata Haki, Kutoka kwenye Ukatili na Unyanyasaji na kuwapa Mbinu za Kujikwamua Kiuchumi. Karibuni sana.
Hii ndo mifumo iliyowekwa na serikali katika kupambana na ukatili wa Kijinsia.
Baadhi ya Wananchi waliotazama kipindi kupitia Tbc1 wamedai huko vijijini kuna baadhi ya maeneo hawana huduma za madawati na ukatili upo mwingi.
Baada ya kurusha kipindi chetu cha WanawakeLive kupitia Tbc1 na kuwafikia wananchi wengi, sasa Kazi yetu ni kuwaunganisha na huduma zilizopo ili waende kupata msaada zaidi. Mada ya wiki hii ilikuwa kuhusu mifumo iliyowekwa na serikali ya kupambana na Ukatili, karibu Tushirikiane
Baada ya kurusha kipindi chetu cha WanawakeLive kupitia Tbc1 na kuwafikia wananchi wengi, sasa Kazi yetu ni kuwaunganisha na huduma zilizopo ili waende kupata msaada zaidi. Mada ya wiki hii ilikuwa kuhusu mifumo iliyowekwa na serikali ya kupambana na Ukatili, karibu Tushirikiane
Hakuna sababu ya kukimbilia kufanya Ukatili, mwanaume wa kweli anatulia na anachukua hatua stahiki ambazo hazina madhara kwa familia na jamii. #Wanawakelive#Tbc1 👍🏽
Kipindi kipo kwenye Youtube ya WanawakeLiveTv