@Kenyans "Majoka akiendelea kusoma gazeti,Kenga anarejea kwa vishindo kuwa kuna habari zinazoenea katika mitandao ya kijamii na kupeperushwa katika runinga ya mzalendo.
Kenga anashauri kuwa,runinga ya mzalendo ichukuliwe hatua.Majoka Anapanga vituo vya habari vifungwe kibakie kimoja tu