Let's play a game Guys........
Send this to your bestie(opp Sex) nd add this caption "Me and You Soon" nd show us his/ her reply 😛😂😂
Please don't air me 🤦
Repost 🙏
Kama unajifahamu huwezi kukaza, huna roho ya kikatili, huna discipline.
Una haraka ya mafanikio, huna utulivu, huna uvumilivu wachana na kujiajiri.
Hao unawaona wamefanikiwa huko sio watu wa kawaida ni watu wagumu wenye roho ya uvumilivu, utulivu na subra kwa kiwango cha hali ya juu.
Much respect kwa wote walio amua kujiajiri.🫡
Sio rahisi mazee game ni ngumu ila we refuse to give up.
Sina neno la kuelezea vizuri neno hili ila
Kama unapenda basi penda kutengeneza pesa.
Ndio unaweza usipende pesa lakini ukapenda kutengeneza pesa na unaweza kupenda pesa lakini usipende kutengeneza pesa.
Hapa nimeenda kama OSHO😀
Karma haifanyi kazi.
Kuna watu wema wanateseka na kuna watu wabaya wanaishi maisha mazuri.
Ulimwengu hauwezi kumharibia mtu yake kisa wewe unamchukia au umekukosea.
Usisubiri karma ikulipe, lipiza kisasi😄