Mwanachama mwaminifu wa CHADEMA TANZANIA.
Civil engineer in plumbing work.
First Responder in Tanzania (EMS) Emergency Medical service.
Leadership Skills from.
Wanao ongoza Nchi sijui vichwa walikopa wapi? Hebu fikiri hivi.
Rais faki
Makamu wa Rais feki
Waziri feki
Baraza la mawaziri feki
Bunge feki
Elimu feki
Huduma za Afya feki
Rita feki
Mahakama feki
Police feki
Jeshi la wananchi feki.
Jaji Mkuu feki
Mahakimu feki.
Feki fek
Water for equality means HEALTH.
Safe water prevents disease, saves lives, and helps families thrive.
Ahead of #WorldWaterDay, join the global conversation: What does water for equality mean to you?
https://t.co/PiqMrr0W0Y
Bwana VANDERLIST, Thabeet Kombo, badala ya kuijibu @TanzaniaLeaks kimipasho, ungetoa ushahidi wa video Samia akisifiwa na kukutana na viongozi wengine wakubwa. Mngeweka nguvu ya kutafuta Soft Exit badala ya propaganda za kijinga, maana ndani ya vyombo habari siyo nzuri pia.
Leo TAL anamsomea shahidi PGO kifungu kwa kifungu. Nukta kwa nukta. Jamaa amesema ni kiongozi wa kikosi cha ‘Special Anti-Robbery Squad’ Arusha. Shahidi amepikwa ipasavyo kama githeri. Show linaanza TAL anasema ‘leo umeingia kwenye 18 zangu’ halafu anafunua PGO 236 anamsomea shahidi. Anamsogezea PGO jamaa amuoneshe wapi ameruhusiwa kujiandikia maelezo, kujithibitisha, kujikanya na kujishuhudia mwenyewe.., Shahidi amepewa PGO. Kaperuzi weeeee.., mwisho anasema siwezi kukumbuka… TAL anamueleza huwezi kukumbuka au huwezi kusoma? Anarudisha PGO ikiwa ya moto.. Oyaah! Weee..
Michelle and I were deeply saddened to hear about the passing of a true giant, the Reverend Jesse Jackson. We will always be grateful for Jesse's lifetime of service, and the friendship our families share. We stood on his shoulders. We send our deepest condolences to the Jackson family and everyone in Chicago and beyond who knew and loved him.
Karibu katika SHOW za TL.
Kama vile ambavyo watu wengine wanapenda kwenda club za muziki za usiku siyo kwenda kucheza bali kwenda kuangalia tu vile DJ anavyocheza na meza yake akifanya mixing yake kwa mbwembwe mara kagusa huku kagusa kule, mara kapunguza sauti mara kaiachia burudaaaaaaani kabisa.
Au kama vile wengine wanavyopenda kwenda katika muziki wa dancing siyo kwenda kucheza bali kwenda kutazama tu vile mpiga drums anavyocheza na drums zake vile anavyogusa moja moja kwa mbwembwe huku anachezesha mguu wake wa kulia kupiga ile ngoma ya chini. mara kapiga ngoma za kushoto yeye kageukia upande wa kulia bila kutazama basi burudaniiiiiiiiiii.
Basi ndivyo ilivyo hapa Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam katika kizimba za ukumbi namba 1 wa Mahakama kuu.
Lissu hapo mezani ametandaza Vitabu vyake sheria,mafaili,kanuni,miongozo,PGO,bando kitika la ukabidhi kutoka Kisutu ,kamusi na marejeo ya kesi mbali mbali kutoka Mahakama zote Daniani za Jumuiya za madola.HATARI TUPU
Na raha inakuja pale Lissu anapogusa vitabu vya sheria hii anafunga na kufungua sheria hii
anafunga na kufungua faili hili na wakati anafungua na kufunga mafaili yake anawatajia Majaji Jina la sheria,Mwaka wake na vifungu vya sheria ,vinapatikana ukurasa namba ngapi.
Ni burudani tosha,ni elimu bila malipo,hakika wengi tunajisemea Walimu wa sheria wangekuwa hivi kila mtu nchi hii angekuwa Mwanasheria.
Kuna siku niliona Jaji ameomba tuition ya bure kutoka kwa Lissu kiaina alipo muuliza swali Lissu
"Mshitakiwa kuna tofauti gani kati ya Kesi inayoendeshwa kwa "session" na zile zinazoendeshwa kwa "Sitting "
Hapa hata wauza mayai tulipata somo tukaishia kutingisha vichwa Mahakamani kwamba hata sisi tumeelewa.
Nakuibia siri tuh kwamba hata maaskari magereza wanaosimama nyuma ya Lissu kizimbani huwa wanajisahau wakati mwingine wanaishia kutingisha Vichwa wakizielewa nondo za jamaa vizuri.
Wakishindwa kujua sheria ni uzembe wao tuh.
Mashahidi wanasema "Ni heri ukutane na Simba mbugani kuliko kukutanishwa na Lissu katika Kizimba cha Mahakama.
Karibu katika Show za TL.
SHAHIDI AMEULIZWA MASWALI NA LISSU ANACHOWEZA JIBU NI SIKUMBUKI SIJUI, yaani ushahidi ni sikumbuki au sijui anakuwaje shahidi mtu wa aina hii
ametoka kwenye kizimba amepata mtikisiko wa ubongo anaondoka na mic na maji yake ameyakataa
hahahaha Samia amewapa kazi ngumu sana hawa wapumbavu wake, wanadharirika kila siku
sasa ndio tunajua maPOLISI hawana DD
========= ========
Jaji anamruhusu Shahidi.
Shahidi anatoka akiwa ameshika kipaza sauti.
Jaji Ndunguru: Unasahau maji yako hapo.
Shahidi: Hapana siyataki tena.
Jaji: Basi turudishie hiyo MIC tafadhali.
Anairudisha na kutoka nje akiwa anatikisa kichwa.
Watu wanacheka.😂😂😂
Kesi inaahirishwa watu wakale.
Tutaendelea baada ya lisaa limoja.
Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali.
Shujaa wetu wala hana makasiriko na mtu mwenyewe kajibebea chakula chake leo na yupo comfortable.Mapambano yanaendelea,kwenye kutafuta haki sisi hatutachoka.#TunawatuTutashinda#FreeLissu
Yaani hii Nchi ngumu sana
Bunge Haramu la 2025 litatunga sheria za watu ambao hawajaenda hata la saba hasa Baba levo halafu hizo sheria zinaenda kujadiliwa na Peter Kibatala hii dunia sio fair.
#Tanzania
"The verified evidence is mounting that certainly hundreds and potentially thousands of protesters and innocent civilians were killed and wounded ... Governments that shoot their own citizens to stay in power shoot their own legitimacy."
https://t.co/yHJWPpKtID