Watu waliodhaniwa kuwa ni wabaya sana wengi wao walikua wema sana, walijali sana, walipenda sana na wakathamini sana.
Ila bahati mbaya upendo wao ukabatizwa jina la shobo
Wakachagua kuacha shobo na kuishi maisha Yao wakapewa jina jipya kua wanaroho mbaya na wanadharau...