Wapo watu kwa ajili ya kutisha na kuwajaza hofu wengine, kukuonyesha kuna jambo linakuja juu ya maisha yako hutoliweza kukabiliana nalo. Ukikaza moyo ukaendelea mbele utaona sio kweli, na ukiogopa utabaki ulivyo, na utashindwa kusonga katika malengo yako.
Tunaendelea kumwamini Mungu sio kwamba tumepewa kila kitu tulichoomba, tunamwamini kwa sababu anacho tunachokihitaji, atatupa au tutapata lini hilo lipo juu yake. Muhimu hatutaacha kuomba na kumwamini Yeye.
Vyema kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu aliyokutendea katika maisha yako, na kutangaza ukuu wake uliouona waziwazi. Kupitia wewe unamwinua mwingine katika imani.
Need help with your Driving License? We’ve got you covered.
At JRC Business Consultancy Co. Ltd, we assist with:
✔ Driving License Renewal
✔ New Driving License Applications
✔ Fast and reliable application support
Sio biashara za kuonekana smart sana. Ni biashara zinazohitajika kila siku kwenye maisha ya watu.
Biashara nyingi kubwa zinaanzia kwenye ufundi, huduma au viwanda vidogo vidogo.
Biashara ipi umeipenda ili nikusaidie mchanganuo mzima na mkakati wa kuanza, masoko na ukuaji?
Kwa wanaopenda kusali Zaburi:
Anza na Zaburi 51 ya toba ya kweli na utakaso wa moyo, endelea na Zaburi 23 ya kumkabidhi Mungu maisha yako na kuamini ulinzi wake, kisha Zaburi 91 ya kujisitiri chini ya kivuli cha Mwenyezi Mungu dhidi ya hatari zote, malizia na Zaburi 133 ya umoja, amani na baraka katika familia na jamii.
Mungu akupe moyo wa toba, akulinde mchana na usiku, akujaze amani na akubariki katika yote uyafanyayo. 🙏🏽
Season’s Greetings from JRC Business Consultancy Ltd
As we celebrate this festive season, we extend our sincere appreciation to our clients, partners, and stakeholders for the trust and collaboration throughout the year. May this Christmas bring you peace, joy, and renewed hope.
Kijana mwenzangu kuna siku UTAFANIKIWA mbele ya macho ya watu wote ambao walikukatia tamaa, hawakukuamini, waliokunyima nafasi na fursa, waliosema hauwezi na wale wote waliosema haustahili. Endelea kupambana na kumtegemea MUNGU, ushindi wako mkubwa unakuja.
Tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapolitimiza neno lile jema nililolinena, katika habari za nyumba ya Israeli, na katika habari za nyumba ya Yuda.
Yer 33:14 SUV