Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua gumzo baada ya kuonekana anasinzia wakati Rais wa China, Xi Jinping, akitoa hotuba katika mkutano wa APEC nchini China.
Picha na video za tukio hilo zimeibua mjadala mitandaoni, huku baadhi ya watu wakitafsiri hali hiyo kama Trump kushindwa kuendelea kuwa makini wakati wa hotuba ya kiongozi huyo wa China.
Hata hivyo, haijathibitishwa rasmi kwamba Trump alikuwa amelala, licha ya video hiyo kuibua tafsiri hiyo kwa watu wengi. Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa huenda alikuwa amefumba macho kwa muda, huku Trump akiwa amewahi kusema hapo awali kuwa wakati mwingine hufumba macho kwa muda mfupi tu.
#KitengeUpdates
Siku ya wanaume duniani imepita sijaona post yoyote wanawake wakituthamini.
Kusema Kweli Kama mwanaume sahau kupendwa au kujaliwa ๐๐๐๐๐
Timiza majukumu yako Ila usisahau kujipenda pia
Hakuna atakayekupenda.