kwa kazi ya wiki 4? Hii kazi si anafanyaga CAG kila mwaka? Kamati ya Bunge ya PAC imekushangaa sana na uamuzi wako huu
👉Lakini tunajua unataka kuweka mtu wako ili ufanye maarifa kwenye ile hela ya World Bank 🤣
Mkenda ni CORRUPT and IMMORAL kuendelea kuhudumu serikalini! HAFAI
Ni MAPOKEZI gani ulipewa ulivyokuwa ugenini? (#WekaManeno ) tazama wakina mama walivyompokea kwa HESHIMA @MwijakuBurton katika ardhi ya Mtwara.
#FIESTA2022 imekarimiwa hapa, na gharama ya ukarimu huo itafidiwa na burudani kali siku ya Jumamosi hii pale #NangwandaSijaona.