Tarehe 22 Disemba kwenye Viwanja vya Posta Dar es Salaam, Machampion wote wa nchi wanakwenda kutoa shukrani moja kubwa na kushangalia mafanikio ya mwaka huu.
Ni mara 2 ya tulichokimiss: stage ya viwango, sound... https://t.co/mSVIXBeQuM
TIGO FIESTA IPO.
"#TigoFiesta2018 ipo, na lazima ifanyike kabla ya mwaka kuisha. Nimezungumza hadi na Mh Rais (Dkt Magufuli) kwamba pengine suala ni 'venue'.....Hili jambo limepenyezwa kwa viongozi wa Serikali tumekaa tumezungumza.." @josephkusaga.
.
.
#Clouds19
Ni hapa palipokuwa pakiitwa Mzizima nyakati hizo, ni hapa palipokutana na juhudi za viongozi wetu wakapabilisha sana. Ni hapa "Dar ya Magufuli, Dar ya Makonda", na hapa ndipo ambapo Jumamosi inafanyika kitu... https://t.co/bCU8tkNBwa