@bigi047 Hawa watu walienda kuwanga katika nyumba ya mtu aliyeweka tego so wakamasa hadi palipokucha ndipo watu wakawakuta katika mazingira hayo kiutamaduni wanatakiwa kunyolewa nywele zote kwa dawa maalumu kiusalama wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa police na hapo kabla ya police kj
#PhiloPox
Sikuwepo kimwili lakini nafsi yangu ilikuwepo pale kushuhudia kila jema lililo jaza furaha za mioyo yenu. Hakika ilifana NAWAPENDA sana ninyi ni mashahidi.
#YangPox https://t.co/pxSpqWBwxQ
#PhiloPox
Kama hautojitoa kafara kuifanikisha ndoto yako basi hiyo ndoto ndo itakuwa kafara yenyewe.
#Yangpox @ Oyster Bay, Dar Es Salaam, Tanzania https://t.co/sfpwZ8Gjm8