Mzee wangu RUNGWE anashangaa VIBAKA washaingia kazini wanapeana MAJUKUMU TUU.
Yeye ndio kageuka kuwa MGENI. Sidhani kama tutakula UBWABWA mwaka huu.
TUTAKUWEPO🫵🏾😂
SUNDAY AFYA TIPS REPOST, BOOKMARK....🩺
Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 → Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ → Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 → Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
NB: Kila hatua unayochukua kwa ajili ya afya yako ni uwekezaji katika maisha yako ya baadaye.....🫡
Kesho tarehe 17 Mei 2025, saa tano asubuhi Chama kitazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wahabari katika ofisi ya zamani ya Katibu Mkuu wa Chama iliyopo Makao Makuu ya Mabaraza Ufipa Kinondoni. Mzungumzaji atakuwa wakili Dickson Matata, Waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
Baada ya November 2025 hawa Wasaka Ubunge na udiwani, wakikosa huo Ubunge na udiwani kuna kundi litaenda CCM na kuna wengine watarudi CHADEMA kuomba msamaha.