Hii ni maisha gani mungu baba. Yani nilinunua TV kubwa,Tv Maduong,lakini ata two hours nimelemewa kukaa chini nione matunda ya jasho yangu bwana. Yani nafika kwa nyumba namna hii,TV naangalia dakika mbili usingizi nayo inasema Luwere luwere. Tv niliwacha ikiona mapaja ya Nina shaban pale NTV nikiamka napata tunaona Bookten,kumbe ni kipii ilipendua sirkal nikiwa usingisi ikaweka ninja tatos bwana. Namwambia rudisha news mara moja,angalau nchi isichomeke tukiona cartoon,dakika mbili usingis luwere luwere,round ya pili
Bwana we have accidentally become our parents,kimchezo tu tukiona. Mimi naona ata tumezeeka haraka sana jameni. Ni juzi tu nilikua class 6,wananiuliza what do you want to be when you grow up nawaambia I want to help the needy,sahii ni mimi niko needy,kama iko mtu alifanikiwa akuje atusaidie sisi tulilemewa akiamungu. This is not the life we prepared 20 years in school for,woi! Jowiii!!