*RELI YA SGR SASA KUFIKA BURUNDI NA DRC*
Tanzania, DRC na Burundi zimekubaliana kuanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ya zaidi ya km 900 ili kuunganisha nchi hizo na kurahisisha biashara na usafiri. Makubaliano yalifikiwa Machi 31, 2026 mjini Kinshasa, na mradi utahusisha njia
*Barabara ya Mlima Kitonga Kuboreshwa kwa Njia Nne na Kuwekwa Taa*
Serikali imepanga kuboresha barabara katika Mlima Kitonga kwa kuijenga kwa kiwango cha njia nne pamoja na kufungwa taa, hatua inayolenga kuongeza usalama wa watumiaji wa barabara, kupunguza ajali na kurahisisha
*JKCI Yaanzisha Maabara ya Kisasa ya Roboti Kuboresha Huduma za Uchunguzi*
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutumia maabara yenye teknolojia ya roboti, ikiwa miongoni mwa maabara kubwa na za kisasa barani Afrika, yenye uwezo wa kupima zaidi ya sampuli 5,000 kwa saa
*UIMARISHAJI WA ULINZI NA USALAMA, DIWANI KATA YA CHANG'OMBE MHE.CAROLINE AKABIDHI PIKIPIKI KWA POLISI JAMII.*
📍*KATA YA CHANG'OMBE*
🗒️*20/07/2026*
.......
*“MIAKA 99 YA JESHI LA CHINA IWE CHACHU CHA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA ULINZI NA TANZANIA” DKT RHIMO NYANSAHO*
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya
@Aduiwayanga Kabla ya PID, fedha za miundombinu zilikuwa zinatoka moja kwa moja kwenye bajeti ya serikali au mikopo. Sasa inawekwa tozo maalum ili iwe endelevu na isilemee mfuko mkuu
Walengwa wa Tozo Mpya ya Bandari Wapongeza Kushushwa kwa Gharama.
Tozo ya PID imeboreshwa kwa kuzingatia maoni ya wadau. Awali ilipendekezwa kuwa asilimia 9% ya thamani ya CIF ya mzigo, kiwango ambacho wengi waliona ni kikubwa.