DPP kapigwa PAIPU ya sheria huko kaacha NDALA.
Dunia nzima inajua LISSU sio muhaini. Tunajua mnajua nguvu yake akiwa huru ndio inawaumiza VICHWA.
Aliepewa kapewa, Lissu kapewa kupendwa na WATANZANIA hata mfanyaje hilo halijikubadilika.
MUACHIENI MZEE WETU.
REPOST 200
@TitoMagoti Watu kma hawa ndo wale masnitch rats pesa huisha ila uhai upo mmoja tu unaishi mara moja tu kuleta propaganda kweny uhai wa watu sio sawa sjui tumekuwaje binadam roho zmekuwa ngumu sana na jma yupo proud kbx
@Sativa255 Jmaa kazingua inabd kuwa straight kuna njia nyingn za kupambania betting sio kushirikiana na kijanii kma umechagua white ni white hakuna kupindisha