Takriban msimu wa 4 huu kila mchezaji wanayemtamani Mashabiki wa Simba asajiliwe na Timu yao mwisho wa siku anasaini Yanga na mwisho ugeuka sizitaki mbichi hiz,nisawashauri tu ni bora mkaongeza idadi ya waganga inaweza kuwasaidia ila huku kwenye sayansi ya Mpira mmeachwa mbali.
🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 - Peter Shalulile 🇳🇦 yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na Young Africans 🔰 kama mchezaji huru baada ya kuachana na Mamelodi Sundowns 🇿🇦
⏳ The deal is very close.
@Cristiano, que bela jornada você está tendo! Eu te admiro muito e isso não é segredo para ninguém. Parabéns por quebrar o meu recorde de gols em partidas oficiais. Deixo essa foto em sua homenagem, com muito carinho, como símbolo de uma amizade que já existe há muitos anos.
🚨 BREAKING:Young Africans SC wamekamilisha uhamisho wa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki kutoka Al Ittihad Tripoli ya Libya
Uhamisho wa Stephanie Aziz Ki ndio usajili wa gharama zaidi ndani ya Yanga SC dirisha hili la usajili
Inakadiriwa imetumika zaidi ya 750K USD
Scuba Diver Ana Dakika Chache Mno Kabla Hajaokoa Maisha Yake! Mzigo Unapambwa Na Josh Brolin & Austin Abrams
🔝RASMI | Whalefall (Thriller) - Inatoka Oktoba 16-2026