Innit ndani ya Morning Chills, a Good morning Kenya, ni vibes and chills with @Collins_masai7 . Ni kitu Gani hicho so shameful mzazi wako aliwahi kupata ukifanya? 7-10AM. #MorningChills@followers
https://t.co/SYLuUdXGlz
Inauma lakini itabidi wazoee, ina maana kwamba Morning Chills is the best morning drive show Mkurugenzi amerejea kwa mpigo short J.O kuanzia 7AM TO 10AM . less talk more burdan au vipi?
Skiza kupitia :https://t.co/K1wtFw2D3a
#morningchillsnashortjo#shortjomwenyewe
MADA ; Je Ni Sawa kauli ya rais william ruto kuhusu shilingi elfu sabini kwa madakitari [interns] itamaliza mgomo huu ?
#wingulasiasa 4pm to 7pm ndo kipindi hewani ukiwa nami SHORT J.O Mwenyewe na Opuk Jakinda da Presenter
Tegea through :https://t.co/5UQZ9N7wt3
#001fnat2
Karibu msikilizaji ndani ya show konki Rhumba Extra kwa masaa matatu za burudani, kuanzia 1pm to 4pm ukiwa nasi, Brian Migambi naye Miriam Chepkemoi,
Tegea kupitia; https://t.co/4G9BIHckzq
Simu: 0792929269
Kipindi burudani yaani sauti za kipwani#Shamrashamra nami Rukia Binty Hassan. Toka saa 10am-1pm. Unanipata ukiwa maeneo gani?
Tegea kupitia; https://t.co/N3m62SHgIk
Simu: 0792929269
Inuka tumsifu Mwokozi wetu na tulihimidi jina lake maana anastahili hapa ndani ya #001Goshel Show nami Saul Thoya kuanzia saa 6am-10am kupitia tovuti yetu; https://t.co/N3m62SHgIk tuma arafa ya ujumbe mfupi kupitia 0792929269
A woman should never marry a man without a 100% masculinity. Unakubaliana na hili? #MzukaWikendi on another Wikendi ukiwa naye Collins Masai . 7-10AM.
whatsapp 0792929269
https://t.co/SYLuUdXGlz
"Mungu Amlinde asifuate nyayo za babake"
Muonekano wa sasa wa mtoto wa Diamond Plutinumz๐น๐ฟ, Tiffah Dangote, wazua mijadala mitandaoni, wengi wakishangazwa na ukuaji wake wa haraka.
Kawa haraka sio?
#nyakuasabato ni ule wakati wa kukaribisha sabato unakaribisha sabato ukiwa wapi? SHORT J.O Mwenyewe -Joshua ochieng7pm to 10pm
leo tuko na walimu wa leseni Elder Tobias Miruka, Bro. Tom Abiollah and Elder Selemiah Mbewa ndani ya mjengo
stream: https://t.co/5UQZ9N7wt3
#001fmAt2
#nyakuasabato ni ule wakati wa kukaribisha sabato unakaribisha sabato ukiwa wapi? SHORT J.O Mwenyewe -Joshua ochieng7pm to 10pm
leo tuko na walimu wa leseni Elder Tobias Miruka, Bro. Tom Abiollah and Elder Selemiah Mbewa ndani ya mjengo
stream: https://t.co/5UQZ9N7wt3
#001fmAt2
Good morning Champ? Get verified and access the dynamic #MorningChills show. Its about the weekend let the fire burn as we feature an exclusive memorable friday edtion with Saul Thoya from 7am-10am.
Call; 0792929269
Tune; https://t.co/jDfnxjcHPn
#morningchillsnasaul#001fmAt2