@MsigwaPeter Tamaa mbaya sana,uchu ulafi unaweza kuaibika hata ukose heshima mbele za watu legacy uliojenga kwa miaka yote ikaiharibu leo unaanza Safari isio na matumaini
@XiZnping Why don't USA stop all this game people are suffering this is not okay world economy is collapsing just to show great national power,we used to stay peace but now everything is scrambled
@MrDepalitto9 Hivyo vinatoka either kwa kupiga chafya au utoe na kitu sio ugonjwa ni particles Zina stuck kwenye vishimo vidogo na kama hujapata Dr mkaguzi mzuri anaweza kuwa anakutwanga antibiotics za kufa mtu kumbe ni kuvitoa na Huwa vinajirudia ni mabaki ya chakula tu Wala si infection
@ErnestKavol4 Marekani mwaka huu kapoteana kabisa natanyau anampelekesha balaa hadi aibu na bado akijifanya kakaza shingo wananyofoa slide moja ya Epstein Trump analala na viatu anaishia kurudi vitani bila sababu
@MangiwaKwanza1 Unamnunulia gari lakini anakuja kuliwa na atakae kuja kumsaidia kubadilisha spear tairi we hujiulizi?kiufupi calculation zao ni vise versa kabisa na unachowaza
@MangiwaKwanza1 Kiufupi tulishambiwa mwanamke ni ngumu sana kumuelewa waachwe kama walivyo,sasa kama anamwacha boss wake na ana date na shamba boy we hujiulizi???ishu za status weka pembeni hivi viumbe ni vya tofauti sana haijalishi mazingira yapoje kinachomjia ndio hPohapo
@Megatron_ron It's very complicated situation really we don't knows but USA should abort this mission to Iran its distours to the whole world if Iran become super power and doesn't harm anyone why should they be attacked?
@Mzungu_pori1 Huu ni upumbavu ku judge ulinzi wa nchi kubwa kama ile je wewe umeweza kuweka hata ulinzi wa kunguru kwenye anga lako tusiongee kama umetoka usingizini
SASA TUJIPANGE NA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA HADI TUCHANGANYIKIWE NI WAKATI WA KUANZA KUFIKIRIA NISHATI MBADALA WA GAS HATA KWA MITAMBO KIUFUPI HII VITA NI MBAYA TUWEKE USHABIKI PEMBENI